Kisoli

Kisoli ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wasoli. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kisoli imehesabiwa kuwa watu 34,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisoli iko katika kundi la M60.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search