Kiyidiny

Eneo la Kiyidiny (mshale wa kijani)

Kiyidiny ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayidiny katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyidiny ilihesabiwa kuwa watu 150 tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyidiny kiko katika kundi lale lenyewe la Kiyidiny.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search