Wafumbira (kwa Kifumbira au Rufumbira: Bafumbira (umoja: Mufumbira)) ni kabila la kusini magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kisoro).
Zamani walikuwa chini ya Rwanda, na mpaka leo lugha yao inafanana na Kinyarwanda[1][2].
Leo wengi wao ni Wakristo.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search