Wakonongo

Wakonongo ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa 51,000 [1].

Lugha yao ni Kikonongo.

Miaka ya 1880, pamoja na Wagongwe, waliwashambulia Wapimbwe baada ya kifo cha Mtemi Kasogera wa Wapimbwe.[2]

  1. [1]
  2. Historia na Utamaduni wa Wapimbwe - Peter Mgawe

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search