10 results found for: “Joe_Biden”.

Request time (Page generated in 0.3069 seconds.)

Joe Biden

Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. (amezaliwa 20 Novemba 1942) ni mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani...

Last Update: 2024-07-23T15:09:13Z Word Count : 132

View Rich Text Page View Plain Text Page

Kujitoa kwa Joe Biden kwenye uchaguzi mkuu wa Marekani

Mnamo Julai 21, 2024, Joe Biden, rais aliye madarakani wa Marekani, alitangaza kujiondoa katika uchaguzi wa urais wa Marekani 2024 kupitia taarifa aliyoitoa...

Last Update: 2024-07-31T12:10:31Z Word Count : 3066

View Rich Text Page View Plain Text Page

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2012

Upande wa "Democratic Party", Rais Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Mitt Romney (pamoja na kaimu...

Last Update: 2016-12-28T07:25:56Z Word Count : 59

View Rich Text Page View Plain Text Page

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2008

Upande wa "Democratic Party", mgombea Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" John McCain (pamoja na kaimu...

Last Update: 2016-12-28T07:25:24Z Word Count : 59

View Rich Text Page View Plain Text Page

Paul Ryan

tangu tarehe 29 Oktoba 2015, Ryan ni spika. Mwaka wa 2012 aligombea kama kaimu wake wa Mitt Romney lakini wakashindwa na Rais Barack Obama na Joe Biden....

Last Update: 2016-12-28T22:24:47Z Word Count : 50

View Rich Text Page View Plain Text Page

Allison Crimmins

tathmini ya hali ya hewa tangu mwaka 2021 hadi sasa. Aliteuliwa na Rais Joe Biden na kuchukua nafasi ya Betsy . Betsy aliyeteuliwa na raisi Trump. Allison...

Last Update: 2023-07-02T13:37:48Z Word Count : 111

View Rich Text Page View Plain Text Page

Kristen Welker

na kuongoza mdahalo kati ya Donald Trump rais aliyepita wa Marekani na Joe Biden rais wa sasa wa Marekani mnamo Oktoba 22, 2020. Welker, Kristen [@kwelkernbc]...

Last Update: 2024-03-03T13:42:08Z Word Count : 220

View Rich Text Page View Plain Text Page

Lori Peek

sosholojia na hatari pana na nyanja ya maafa. Mnamo Aprili 20, 2021 Rais Joe Biden alimteua Peek kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Kitaifa...

Last Update: 2023-07-22T07:28:39Z Word Count : 265

View Rich Text Page View Plain Text Page

20 Novemba

Arieh Warshel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2013 1942 - Joe Biden, Kaimu Rais wa Marekani 1982 - Rémi Mathis, mwanahistoria kutoka Ufaransa...

Last Update: 2022-05-21T12:04:10Z Word Count : 165

View Rich Text Page View Plain Text Page

Orodha ya Marais wa Marekani

akahudumu kwa muda mrefu zaidi kuliko wote, miaka 12. Rais wa sasa ni Joe Biden, aliyeapishwa 20 Januari 2021. '*' maana yake, amefariki madarakani '**'...

Last Update: 2024-03-15T13:46:11Z Word Count : 351

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Joe Biden

Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. (amezaliwa 20 Novemba 1942) ni mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa Mkatoliki wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais. Mnamo Machi wa mwaka 2019, Biden alitangaza kugombea nafasi ya Rais wa Marekani mwaka 2020. Biden alishinda uchaguzi mkuu mnamo Novemba 2020 dhidi ya rais aliyemtangulia Donald Trump.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search