10 results found for: “Vladimir_Putin”.

Request time (Page generated in 0.5851 seconds.)

Vladimir Putin

Vladimir Vladimirovich Putin, (kwa Kirusi Владимир Владимирович Путин; alizaliwa 7 Oktoba 1952) ni mwanasiasa wa nchini Urusi. Mara nne alichaguliwa kuwa...

Last Update: 2023-03-13T15:18:15Z Word Count : 182

View Rich Text Page View Plain Text Page

Hotuba ya Vladimir Putin, Munich 2007

Hotuba ya Vladimir Putin, Munich 2007 ilitolewa na Rais wa Urusi Vladimir Putin nchini Ujerumani tarehe 10 Februari 2007 katika Mkutano wa Usalama wa...

Last Update: 2024-03-10T07:32:33Z Word Count : 983

View Rich Text Page View Plain Text Page

Hotuba ya Vladimir Putin, Crimea 2014

Tarehe 18 Machi 2014, rais wa Urusi Vladimir Putin alitoa hotuba kwa mabaraza yote mawili ya Bunge la Shirikisho la Shirikisho la Urusi kuhusiana na ombi...

Last Update: 2023-03-17T20:21:17Z Word Count : 357

View Rich Text Page View Plain Text Page

Dmitry Medvedev

kama Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi, akiongozwa na Vladimir Putin. Alihudumu kama waziri mkuu wa Urusi kati ya mwaka 2012 na 2020. Kuanzia...

Last Update: 2022-10-17T19:33:55Z Word Count : 199

View Rich Text Page View Plain Text Page

Boris Yeltsin

Gorbachev, alimtangulia Boris, wakati huo Urusi iliitwa Umoja wa Kisovyeti. Vladimir Putin amekuja baada ya Boris. Boris Yeltsin alifariki dunia kwa ugonjwa wa...

Last Update: 2023-11-11T09:13:32Z Word Count : 128

View Rich Text Page View Plain Text Page

Yevgeniya Sergeyevna Chirikova

Ruvinsky, Vladimir. "From Russian activist to politician: Evgenia Chirikova", Telegraph, July 4, 2011.  "She dared to call Vladimir Putin a crook". ...

Last Update: 2023-07-23T07:43:23Z Word Count : 88

View Rich Text Page View Plain Text Page

Mikhail Mishustin

Huduma ya Ushuru wa Shirikisho kutoka 2010 hadi 2020. Aliteuliwa na Rais Vladimir Putin kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Shirikisho la Urusi mnamo 15 Januari...

Last Update: 2020-08-08T11:52:15Z Word Count : 132

View Rich Text Page View Plain Text Page

Krim

wa Krim walikataa mwelekeo mpya wa serikali ya Kiev. Rais wa Urusi Vladimir Putin alitumia nafasi hiyo kutuma wanajeshi wa Urusi wasiovaa sare rasmi ndani...

Last Update: 2019-11-23T10:16:06Z Word Count : 462

View Rich Text Page View Plain Text Page

Karne ya 20

Urusi Vladimir Lenin Joseph Stalin Leon Trotsky Nikita Khrushchov Leonid Brezhnev Mikhail Gorbachev Boris Yeltsin Vladimir Vladimirovich Putin Niels Bohr...

Last Update: 2024-03-11T07:01:04Z Word Count : 792

View Rich Text Page View Plain Text Page

Historia ya Urusi

walikuwa Boris Yeltsin na Vladimir Putin. Dmitry Medvedev alichaguliwa kuwa rais wa Urusi mwaka 2008 na mtangulizi wake Vladimir Putin akawa waziri mkuu, akifuatwa...

Last Update: 2023-09-04T06:36:31Z Word Count : 2197

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Vladimir Putin

Vladimir Vladimirovich Putin, (kwa Kirusi Владимир Владимирович Путин; alizaliwa 7 Oktoba 1952) ni mwanasiasa wa nchini Urusi. Mara nne alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho kwenye mwaka 2018; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000, tena kuanzia 2008 hadi 2012 alikuwa waziri mkuu wa Urusi. Baadaye aligombea tena uraisi aliporudishwa mwaka 2018. Alikaimu kiti cha Urais tarehe 31 Desemba 1999, pale rais Boris Yeltsin alipojiuzulu kwa ghafla. Kisha Putin akashinda uchaguzi wa rais mnamo mwaka wa 2000. Mnamo mwaka wa 2004, alichaguliwa upya na kushinda, hivyo aliendelea na kipindi chake cha pili hadi tarehe 7 Mei 2008. Putin ni Mrusi wa Kanisa la Kiorthodoksi; mama yake alikuwa Mkristo wa kujitolea aliyekuwa akihudhuria katika kanisa wakati baba yake hakuamini Mungu. Mama yake hakuweka usaidizi wowote nyumbani lakini alihudhuria kanisani mara kwa mara japokuwa serikali ilinyanyasa dini yake kwa wakati huo. Mama yake alimbatiza kwa siri akiwa mdogo na mara kwa mara alimpeleka kuabudu. Katika michezo Putin ameonekana mara kwa mara akiendeleza tasnia ya michezo kama vile kuendesha baiskeli, kutereza kwa ski, badminton.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search