"Shake It Off" ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa nchini Marekani Mariah Carey, kwa kushirikiana na waandishi wengine kama vile Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Johntá Austin, na ulirekodiwa katika albamu ya kumi ya Carey, iliyojulikana kama The Emancipation of Mimi iliyotoka mwaka (2005). Wimbo huu ulitoka kama single ya tatu kutoka katika albamu hii ya mwaka 2005.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search