Afrika

Afrika duniani.
Afrika kutoka kwenye Mwezi (Ocktoba 2015)
Uwiano kati ya Afrika, Asia na Amerika.

Afrika ni bara la pili duniani kwa ukubwa, likiwa na eneo la kilometa za mraba zipatazo 30,370,000 na kwa idadi ya wakazi, hao wakiwa 1,225,080,510 (mwaka 2016). Asia ndiyo bara kubwa pekee zaidi ya Afrika.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search