Angahewa

Matabaka ya angahewa ya Dunia

Angahewa ni matabaka ya gesi za hewa yanayozingira sayari au gimba lingine la angani yakishikwa na uvutano wa gimba husika.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search