Ankara


Jiji la Ankara
Jiji la Ankara is located in Uturuki
Jiji la Ankara
Jiji la Ankara

Mahali pa mji wa Ankara katika Uturuki

Majiranukta: 39°52′0″N 32°52′0″E / 39.86667°N 32.86667°E / 39.86667; 32.86667
Nchi Uturuki
Tovuti:  www.ankara.bel.tr./
Masjid ya Kocatepe

Ankara ni mji mkuu wa Uturuki. Iko katika kitovu cha Anatolia kwenye kimo cha 938 m juu ya UB.[1] Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Ankara.

Ankara ni mji mkubwa wa pili nchini baada ya Istanbul. Kuna wakazi 4,319,167 (2005).

  1. Ankara, Turkey: Latitude, Longitude and Altitude

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search