Atomu

Mfumo wa atomu kwa mfano wa atomu ya Heli: Elektroni mbili (njano) kwenye mzingo wa atomu huzunguka kiini cha atomu chenye Protoni mbili (nyekundu) na Neutroni mbili (kijani).

Atomu au atomi (kutoka Kigiriki átomos yaani "isiyogawika") ni sehemu ndogo ya maada yenye tabia ya kikemia kama elementi. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomu.

Kuna aina nyingi za atomu na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na elementi zilizopo duniani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search