Bahari ya Japani

Eneo la Bahari ya Japani

Bahari ya Japani ni kando ya bahari ya magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Imepakana na Japani, Korea Kusini, Korea Kaskazini na Urusi.

Bahari hii huko Korea Kaskazini hutajwa kama Bahari ya Mashariki mwa Korea na huko nchini Korea Kusini hutajwa kama Bahari ya Mashariki.[1][2]

  1. "S Korea bid to solve sea dispute", BBC News, 2007-01-08. Retrieved on 2008-02-17. "South Korea calls it the East Sea" 
  2. "Report on the Progress in Consultations on the Naming of the Sea Area between the Korean Peninsula and the Japanese Archipelago". Ministry of Foreign Affairs and Trade (South Korea). 2007-08-30. Iliwekwa mnamo 2008-02-17. the sea area has been consistently called "East Sea" in Korea

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search