Bariadi (mji)


Bariadi
Bariadi is located in Tanzania
Bariadi
Bariadi

Mahali pa Bariadi katika Tanzania

Majiranukta: 2°48′14″S 33°59′10″E / 2.80389°S 33.98611°E / -2.80389; 33.98611
Nchi Tanzania
Mkoa Simiyu
Wilaya Bariadi mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 260,9,278
Msimbo wa posta 39101

Bariadi ni mji katika Mkoa wa Simiyu ulio makao makuu ya mkoa. Ilipata halmashauri yake ya pekee kuanzia mwaka 2012[1] ilipotengwa na Wilaya ya Bariadi.

Misimbo ya posta huanza kwa namba 391[2].

Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, eneo la mji ulikuwa na wakazi 167,508 walioishi katika kata 10[3]. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 260,927 [4].

  1. Yanayotuhusu, tovuti rasmi ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi, iliangaliwa Oktoba 2020
  2. [ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf Archived 5 Agosti 2018 at the Wayback Machine. TCRA Postcode List, Simiyu], iliangaliwa Oktoba 2020
  3. Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016 Tanzania Bara April, 2016. Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es Salaam
  4. https://www.nbs.go.tz

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search