Bia

Viking ni bia kutoka Iceland

Bia ni kinywaji cha pombe kinachotengenezwa kwa maji, nafaka hasa shayiri, hopi kwa ladha na hamira kama chachu. Kiwango cha alikoholi ndani yake ni kati ya asilimia 2 - 6.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search