Ekuador

República del Ecuador
Jamhuri ya Ekuador
Bendera ya Ekuador Nembo ya Ekuador
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: "Dios, patria y libertad"
("Mungu, taifa na uhuru")
Wimbo wa taifa: Salve, Oh Patria (usalimiwe e taifa)
Lokeshen ya Ekuador
Mji mkuu Quito
00°9′ S 78°21′ W
Mji mkubwa nchini Guayaquil
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Daniel Noboa
Uhuru
Kutoka Hispania
kutoka Gran Colombia

24 Mei 1822
13 Mei 1830
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
283,560 km² (ya 75)
5
Idadi ya watu
 - 2023 kadirio
 - 2022 sensa
 - Msongamano wa watu
 
17,483,326[2] (ya 73)
16,938,986[1]
69/km² (ya 148)
Fedha U.S. dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5; UTC -6 (Galápagos Islands))
(UTC)
Intaneti TLD .ec
Kodi ya simu +593

-


Ramani ya Ekuador

Ekuador (kwa Kiswahili pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini.

Jina la nchi kwa Kihispania (Ecuador) lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo.

Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki.

Funguvisiwa la Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu kilomita 1,000 kutoka bara.

Mji mkuu ni Quito, lakini mji mkubwa zaidi ni Guayaquil.

  1. "Inicio". www.ecuadorencifras.gob.ec.
  2. "Ecuador". The World Factbook (kwa Kiingereza) (tol. la 2025). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 22 Juni 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search