Ghuba ya Suez

Upande wa kaskazini zaidi wa Ghuba ya Suez na mji wa Suez Katika ramani ya 1856

Upande wa kaskazini, mwishoni mwa Bahari ya Shamu kuna mto unaotokea baada ya mkono nchi wa Sinai au Rasi ya Sinai, na kusababisha kutokea kwa ghuba ya Suez au ((Kiarabu: خليج السويس‎; Khalīǧ as-Suwais) kwa upande wa Magharibi, na pia kutokea kwa ghuba ya Aqaba kwa upande wa mashariki. Ghuba ya Suez hutengenezwa na bonde dogo lakini linalokua linajulikana kama Gulf of Suez Rift, linalikadiriwa kuwa kwa kiasi cha miaka milioni ishirini na nane iliyopita.[1]. lianpanuka kwa kiasi chakilometre 300 (mi 190) kaskazini kwa kaskazinimagharibi. Hii husababisha kutenganisha kwa mji wa Suez na ingilio katika mfereji wa Suez. Katika miishio ya mkono nchi huu, ndio kuna mipaka ya bara la Afrika na Asia [2] Mlango wa mkono nchi huu upo katika eneo linaloaminika kwa na mafuta pamoja na gesi..[3]

  1. http://geoinfo.amu.edu.pl/wpk/geos/GEO_2/GEO_PLATE_T-37.HTML Detailed geological information on the Gulf
  2. "ISS EarthKAM: Images: Collections: Composite: Gulf of Suez, Egypt and Saudi Arabia". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-10-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-13.
  3. "USGS Open File Report OF99-50-A Red Sea Basin Province (Province Geology)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-13.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search