Giotto

Sanamu ya Giotto, nje ya Uffizi, Firenze, Italia.
Giotto: Ziara ya Mamajusi kwenye hori ya Bethlehemu

Giotto di Bondone (Florence, 1266/7 – 8 Januari 1337) ni kati ya wachoraji bora kutoka Italia, pamoja na kuwa mhandisi.

Anahesabiwa kati ya wasanii walioandaa Renaissance, kwa kuachana na mitindo ya Bizanti na kuchora watu walivyo kweli.[1]

Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, tena mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

  1. Giorgio Vasari, Lives of the Artists, trans. George Bull, Penguin Classics, (1965)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search