Gregori wa Tours

Sanamu ya Mt. Gregori ya Tours (kazi ya Jean Marcellin, karne ya 19), Louvre,Paris, Ufaransa.

Gregori wa Tours (Clermont-Ferrand, Auvergne, 30 Novemba 538 hivi [1] - Tours, 17 Novemba 594[2]) alikuwa mwanahistoria na askofu wa Tours katika Ufaransa wa leo[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[4].

  1. Jones, Terry. "Gregory of Tours". Patron Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-10. Iliwekwa mnamo 2007-01-16. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. Butler, Alban. The Lives of the Saints, Vol. XI, 1866
  3. Leclercq, Henri. "St. Gregory of Tours." The Catholic Encyclopedia. Vol. 7. New York, New York: Robert Appleton Company, 1910. 26 October 2014.
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search