Homoni

Epinefrini (adrenalini) ni homoni aina ya catecholamine-

Homoni (pia: hormoni, kutoka Kigiriki ὁρμᾶν horman - "kichochezi", "msukumo") ni kemikali zinazotolewa na tezi za mwili na kusafiri kupitia mfumo wa mzunguko wa damu hadi ogani za mwili. Humo zinasababisha mabadiliko katika kazi ya ogani. Kwa lugha nyingine zinapeleka ujumbe kwa ogani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search