Kaisari Leo III

Sarafu yenye sura yake.

Kaisari Leo III (685 hivi - 18 Juni 741) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 717 hadi 741[1].

Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu[2].

  1. Craig, Graham, Kagan, Ozment, and Turner (2011). The Heritage of World Civilizations. Prentice Hall. uk. 321. ISBN 978-0-205-80766-6.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. Gero, Stephen (1973). Byzantine Iconoclasm during the Reign of Leo III, with Particular Attention to the Oriental Sources. Louvain: Secrétariat du Corpus SCO. ISBN 90-429-0387-2.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search