Kampala

Jiji la Kampala
Jiji la Kampala is located in Uganda
Jiji la Kampala
Jiji la Kampala

Mahali pa mji wa Kampala katika Uganda

Majiranukta: 0°18′49″N 32°34′52″E / 0.31361°N 32.58111°E / 0.31361; 32.58111
Nchi Uganda
Wilaya Kampala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1 353 236
Tovuti:  www.kcc.go.ug
Sehemu za Mji wa Kampala

Kampala ni mji mkuu na mkubwa wa Uganda, pia mojawapo ya wilaya za nchi ulioka karibu na ziwa kubwa la Nyanza Viktoria, mita kama 1,189 juu ya UB.Kampala ina wakazi 1,875,834 mnamo 2024. Jiji kuu lake lina watu kadiri Milioni 6.8. Kampala ndio kitovu cha uchumi cha Uganda likiwa pato la taifa kadiri dola bilioni 13 za Marekani

UNDIO, UNEP, Benki ya Uchumi na East Africa Development Bank (EADB) zina ofisi hapa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search