Karne ya 12


Karne ya 12 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1101 na 1200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1101 na kuishia 31 Desemba 1200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search