Jamhuri ya Kenya Republic of Kenya (en) | |
---|---|
Kaulimbiu: "Harambee" | |
Wimbo wa taifa: "Ee Mungu Nguvu Yetu" | |
Mji mkuu na mkubwa | Nairobi |
Lugha rasmi | |
Lugha ya taifa | Kiswahili |
Kabila (2019) | |
Dini (2019) |
|
Serikali | Jamhuri ya kiraisi |
• Rais • Naibu Rais • Spika wa Seneti • Spika wa Bunge • Jaji Mkuu | William Ruto Kithure Kindiki Amason Kingi Moses Wetangula Martha Koome |
Eneo | |
• Jumla | km2 580 367[1] |
• Maji (asilimia) | 2.3 |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2024 | 52,428,290 [2] |
• Sensa ya 2019 | 47 564 296[3] |
PLT (PPP) | Kadirio la 2025 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
PLT (Kawaida) | Kadirio la 2025 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
HDI (2022) | ![]() kati |
Sarafu | Shilingi ya Kenya |
Majira ya saa | UTC+3 (Afrika Mashariki) |
Muundo wa tarehe | siku/mwezi/mwaka |
Upande wa magari | Kushoto |
Msimbo wa simu | +254 |
Msimbo wa ISO 3166 | KE |
Jina la kikoa | .ke |
Kenya ,rasmi Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyopo Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi. Kenya imepakana na Ethiopia upande wa kaskazini, Somalia upande wa kaskazini mashariki, Tanzania upande wa kusini, Uganda na Ziwa Viktoria upande wa magharibi, kisha Sudan Kusini upande wa kaskazini magharibi.Mnamo 2024 Kenya ina watu milioni 54 na kuwa nchi ya 26 kubwa duniani kwa Idadi ya watu. Mji mkuu wake mkuu na mkubwa ni Nairobi, lakini Mombasa ni mji mashuhuri pia. Ukiwa kama mji kongwe zaidi na bandari kuu iliyopo katika Kisiwa cha Mombasa. Miji mingine ni pamoja na Nakuru, Ruiru, Eldoret, na Kisumu.
Mazingira na tabianchi ya Kenya ni anuwai sana; kuna mbuga mbalimbali mnamoishi aina elfu kadhaa za wanyamapori, milima ambayo imefunikwa na theluji (kwa mfano: Mlima Kenya, chanzo cha jina “Kenya”), misitu mikubwa, maeneo ya kilimo, halijoto za wastani za Bonde la Ufa, na majangwa ya Chalbi na Nyiri.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search