Kibanda ya Kati

Kibanda ya Kati ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda wa Kati. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda ya Kati nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wasemaji nchini Sudan Kusini haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda ya Kati iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search