Kibofi

Kibofi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabofi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibofi imehesabiwa kuwa watu 23,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibofi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search