Kibokoto

Kibokoto ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabokoto. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibokoto imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibokoto iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search