Kiburaka

Kiburaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waburaka. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiburaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 2500. Pia kuna wasemaji 1300 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search