Kigundi

Kigundi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wagundi. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kibaka. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kigundi imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigundi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search