Kikaba-Deme

Kikaba-Deme ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikaba-Deme nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji nchini Afrika yaKati ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba-Deme iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search