Lhotse

Mlima Lhotse, upande wa Kusini

Lhotse ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,511 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na Uchina.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search