Lori ya kubeba kontena ikiwa na mkono wa winchi ya kupakiza mzigo wakeLori lenye ukubwa wa katikati yenye sehemu ya mizigo iliyofungwaDaimler-Lastwagen, 1896
Lori(kutoka Kiingereza lorry) ni motokaa kubwa ya kubeba mizigo ya kila aina. Kutokana na ukubwa wake lori mara nyingi husukumwa na injini ya diseli.