Lucy Kibaki

Lucy Kibaki


Aliingia ofisini 
29 Desemba 2002
mtangulizi Ngina Kenyatta1
aliyemfuata Margaret Kenyatta

tarehe ya kuzaliwa 1940
Mukurwe-ini
tarehe ya kufa Tarehe 26 Aprili 2016 (miaka 76)
Bupa Cromwell Hospital, London
jina ya kuzaliwa Lucy Muthoni Kibaki
utaifa Kenyan
ndoa Mwai Kibaki (m. 1962)
watoto Judy Wanjiku, Jimmy Kibaki, David Kagai, and Tony Githinji.
makazi Nairobi, Kenya
mhitimu wa Kamwenja Teachers College
taaluma First Lady
Fani yake Teacher
1. Ngina retained her First Lady status even after the death of her husband in 1978, as incoming President Daniel arap Moi had separated from his wife in 1974

Lucy Muthoni Kibaki (1940 - 26 Aprili, 2016) alikuwa mke wa Rais wa Kenya Mwai Kibaki, yaani alikuwa Mwanamke wa Kwanza wa Kenya (2003-2013).

Alizaliwa Mukurwe-ini mwaka wa 1940 kwa Rev. John Kagai na Rose Nyachomba, katika Mlima Kenya. Alifunzwa kuwa mwalimu, na akapandishwa cheo hadi kuwa mwalimu mkuu katika chuo cha mafunzo ya Ualimu huko Kiambu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search