Lugha ya kigeni

Ubao wa Chuo kikuu cha Harvard ambamo wanafunzi wamejitahidi kujifunza alama za pekee za Kihispania.

Lugha ya kigeni ni lugha yoyote ambayo haipatikani katika mazingira ya mtoto, hivi kwamba hawezi kujifunza bila kufundishwa. Au ni lugha tofauti na ile ya nchi yake asili.

Lugha zinazosomwa zaidi namna hiyo duniani ni Kiingereza, Kifaransa na Kichina.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search