Mali

Kwa maana nyingine ya neno hili angalia Mali (maana)

Republique du Mali

Jamhuri ya Mali
Bendera ya Mali Nembo ya Mali
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Taifa moja, Lengo moja, Imani moja (Kifaransa: Un peuple, un but, une foi)
Wimbo wa taifa: Pour l'Afrique et pour toi, Mali (Kwa Afrika na kwako, Mali)
Lokeshen ya Mali
Mji mkuu Bamako
12°39′ N 8°0′ W
Mji mkubwa nchini Bamako
Lugha rasmi Kibambara na nyingine 12[1]
Serikali Jamhuri
Assimi Goïta
Choguel Kokalla Maïga
Uhuru
Tarehe
kutoka Ufaransa
22 Septemba 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,240,192 km² (ya 23)
1.6%
Idadi ya watu
 - 2022 kadirio
 - 2018 sensa
 - Msongamano wa watu
 
21,473,764 (ya 60)
19,329,841
11.7/km² (ya 215)
Fedha CFA franc (XOF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC0)
(UTC+1)
Intaneti TLD .ml
Kodi ya simu +223

-


Ramani ya Mali

Mali (kwa Kifaransa: République du Mali = Jamhuri ya Mali) ni nchi ya Afrika ya Magharibi.

Imepakana na Algeria, Mauritania, Niger, Burkina Faso, Cote d'Ivoire na Senegal. Mali haina pwani kwenye bahari yoyote.

Sehemu ya juu ni mlima Hombori Tondo (mita 1155 juu ya UB) ulioko katikati ya nchi.

Upande wa Kaskazini sehemu kubwa ya eneo la Mali ni jangwa la Sahara.

Wakazi walio wengi huishi kusini, karibu na mito Senegal na Niger.

  1. Mnamo 22 Julai 2023 lugha ya Kifaransa imeshushwa hadhi na kuwa tu lugha ya kufanya kazi nchini Mali.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search