Marekani

Muungano wa Madola ya Amerika
United States of America (Kiingereza)
Kaulimbiu ya taifa: "In God We Trust"
Wimbo wa taifa: "The Star-Spangled Banner"
Mahali pa Marekani
Mahali pa Marekani
Mji mkuuWashington, D.C.
38°53′N 77°1′W / 38.883°N 77.017°W / 38.883; -77.017
Mji mkubwa nchiniNew York
40°43′N 74°0′W / 40.717°N 74.000°W / 40.717; -74.000
Lugha za taifaKiingereza
SerikaliJamhuri ya shirikisho
 • RaisJoe Biden
Idadi ya watu
 • Kadirio la 2023334 914 895
Pato la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD trilioni 26.950
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 80 412
SarafuDola ya Marekani


Muungano wa Madola ya Amerika (kwa Kiingereza: United States of America), inajulikana pia kama Marekani (kwa Kiingereza: United States, US, USA au America), ni nchi inayopakana na Kanada na Meksiko katika Amerika ya Kaskazini, mbali ya kuundwa pia na visiwa vya Hawaii.

Mji mkuu wa Marekani ni Washington DC.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search