Mkoa wa Ankara

Mkoa wa Ankara
Maeneo ya Mkoa wa Ankara nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 25,706 (km²)
Idadi ya Wakazi 5,017,914 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 06
Kodi ya eneo: 0312
Tovuti ya Gavana http://www.ankara.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/ankara


Mkoa wa Ankara (Kituruki: Ankara ili) ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, ambao pia ni mji mkuu wa nchi (Ankara).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search