Mwezi

Chombo cha angani Galileo kilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi
Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na mwanaanga Mmarekani Bill Anders wakati wa safari ya Apollo 8 tarehe 24 Desemba 1968. Safari hii ilipeleka mara ya kwanza watu hadi uga wa graviti ya Mwezi na kuuzunguka.

Mwezi (alama: ☾) ni gimba la angani linalozunguka sayari, sayari kibete au asteroidi fulani. Kuna miezi mingi katika anga-nje. Vipindi vya kuonekana kwa mwezi wa Dunia vilisababisha matumizi ya "mwezi" kama majira ya wakati.

Mabadiliko ya kuonekana kwake yalisababisha katika Kiswahili neno "mwezi" litumike kama kipindi cha wakati. Awamu zake nne pengine ndizo chanzo cha majuma ya siku sabasaba.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search