Mwimbaji

Nabil bali

Mwimbaji ni mtu anayeimba. Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwa Kiingereza. wanawaita amateur singer).

Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo, opera n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vile piano, gitaa, au zeze la kizungu (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katika filamu makumbi ya maonyesho.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search