Picha

Kupiga picha mazingira kwa kamera
Mpiga picha na mwandaaji wa filamu nchini Tanzania

Picha (kutoka neno la Kiingereza "picture", lililotokana na Kilatini "pictura") ni taswira ya kitu fulani ambacho kimechorwa au kutumia vifaa vya elektroniki kuchukua taswira ilivyo.

Siku hizi picha zimeenea kila mahali, na wengi wanapenda sana kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao.

Upigaji picha umekuwa aina mojawapo ya sanaa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search