Raia

Raia mzee wa nchi ya Cuba

Raia ni mtu anayeishi katika nchi fulani na kuwa na haki zote kama mzalendo wa nchi yake. Mzalendo ni mtu anayeishi katika nchi fulani na kufuata sheria za nchi na analinda na kuviheshimu vitu vya nchi yake. Kwa mfano, mtu anayeishi katika nchi ya Tanzania ni Mtanzania.

Nchini Tanzania kuna aina nne za uraia, nazo ni:

  • 1) Uraia wa kuzaliwa
  • 2) Uraia wa kurithi
  • 3) Uraia wa kuoa au kuolewa
  • 4) Uraia wa kujiandikisha

Hizo ni aina kuu nne za uraia nchini Tanzania ambazo hapa chini zitaelezwa moja badala ya nyingine.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search