Rila

Mlima Rila

Rila ni milima ya Balkani (Ulaya), katika nchi ya Bulgaria.

Urefu wake katika mlima Musala unafikia mita 2,925 juu ya usawa wa bahari, ukizidi milima yote ya Balkani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search