Rovu

Rovu (pia goita, kutoka Kiingereza: goitre) ni uvimbe wa shingo unaosababishwa na kukuzwa kwa tezishingo, tezi iliyopo upande wa mbele wa shingo.

Ugonjwa huo kwa kawaida unatokana na ukosefu wa iodini kwenye mwili[1] na unajitokeza kwa kuvimba shingo[2][3].

  1. R. Hörmann: Schilddrüsenkrankheiten. ABW-Wissenschaftsverlag, 4. Auflage 2005, Seite 15–37. ISBN|3-936072-27-2
  2. Foundation, British Thyroid. "Thyroid Nodules and Swellings - British Thyroid Foundation". www.btf-thyroid.org (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-23. Iliwekwa mnamo 2020-09-11.
  3. Choices, NHS (2017-10-19). "Goitre - NHS Choices". www.nhs.uk (kwa Kiingereza).

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search