Sakafu

Watu wakitengeneza sakafu ya mbao.

Sakafu ni sehemu ya chini ya nyumba au jengo lingine lolote iliyotandazwa na kupigiliwa vizuri kwa kuchanganya mawe, mchanga na simenti. Sakafu huweza pia kujengwa kwa mbao.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search