Sanamu

Mtu akifikiri, kazi ya Rodin, 1902 hivi, Bronzi, Copenhagen, Denmark
Leshan Giant Buddha, 803 hivi, iliyochongwa katika mlima, Leshan, China
Uwiano wa uasilia, VUDA Park, Visakhapatnam, India
Sanamu ya moai, Kisiwa cha Pasaka, Chile

Sanamu ni kazi ya sanaa ambayo inatofautiana na picha au mchoro kwa sababu inaonyesha mtu au kitu si kwa urefu na upana, bali pia kwa unene.

Inaweza kutengenezwa kwa kuchonga au kwa njia nyingine (k.mf. kumimina kiowevu katika muundo uliokusudiwa).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search