Tatu

Mabadiliko katika kuandika tatu.

Tatu ni namba ambayo inafuata mbili na kutangulia nne. Kwa kawaida inaandikwa 3 lakini III kwa namba za Kiroma na ٣ kwa zile za Kiarabu.

3 ni namba tasa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search