Tawi

Matawi ya vipimo mbalimbali.
Matawi na majani.

Tawi (kwa Kiingereza: branch) ni sehemu ya mti isiyokuwemo katika shina lake.

Kulingana na aina ya mti, matawi yake yanaweza na umbo na ukubwa tofauti sana.

Kwa mfano wa miti, vitu vingine vinaweza kuwa na matawi, kwa mfano: mto (tawimto), kampuni (kampuni tanzu) n.k.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search