Tenzi ni tungo ndefu za ushairi zinazoelezea juu ya mambo fulani na huwa na upande mmoja katika utenzi wake (yaani huwa na vina vya kati tu).
Tenzi huweza kuwa na mpangilio wa silabi zinazolingana katika kila mstari pia haufuati urari wa mizani katika mshororo wake.