Uajemi

جمهوری اسلامی ايران
Jomhūrī-ye Eslāmī-ye Īrān

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Uajemi)
Bendera ya Uajemi Nembo ya Uajemi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kiajemi: Esteqlāl, āzādī, jomhūrī-ye eslāmī
("Uhuru, Huria, Jamhuri ya Kiislamu")
Wimbo wa taifa: Sorūd-e Mellī-e Īrān
Lokeshen ya Uajemi
Mji mkuu Tehran
35°40′ N 44°26′ E
Mji mkubwa nchini Tehran
Lugha rasmi Kiajemi (Farsi)
Serikali Jamhuri ya Kiislamu
Ali Khamenei (سید علی خامنه‌ای)
Ebrahim Raisi (سیدابراهیم رئیسی)
Mapinduzi
imetangazwa

11 Februari 1979
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,648,195 km² (ya 18)
0.7%
Idadi ya watu
 - 2013 kadirio
 - 1996 sensa
 - Msongamano wa watu
 
78,192,200[2] (ya 18)
60,055,488 [1]
48/km² (ya 162)
Fedha Rial (ريال) (IRR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+3.30)
not observed (UTC+3.30)
Intaneti TLD .ir
Kodi ya simu +98

-



Uajemi (kutokana na Kiarabu العجم- al-'ajam) ni nchi ya Asia ya Magharibi. Kimataifa inajulikana zaidi kwa jina Iran (ايران).

Jina rasmi ya nchi ni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran au Uajemi. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu.

Imepakana na Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Iraq, Pakistan, Uturuki na Turkmenistan.

Upande wa kusini kuna mwambao wa Ghuba ya Uajemi (Bahari Hindi) na upande wa kaskazini ni mwambao wa Bahari ya Kaspi.

Tehran ni mji mkuu, pia mji mkubwa nchini.

  1. Statistical Centre, Government of Iran. ""Population by Religion and Ostan, 1375 Census (1996 CE)"". Iliwekwa mnamo 2006-04-14.
  2. "official population clock as of March 17, 2015". http://www.amar.org.ir/.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search