Uislamu nchini Nigeria

Msikiti wa Taifa wa Abuja mjini Abuja, Nigeria.
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Nigeria una idadi kubwa ya waumini kuliko nchi yoyote ile katika Afrika Magharibi. Utafiti wa kituo cha Pew Research Center unakadiria kuwa upo kati ya asilimia 48.5 (2010)[1] na 50.4% (2009).[2][3] Kina CIA wanakadiria kuwa asilimia 50[4] wakati BBC wanakadiria kati ya asilimia 50 (2007).[5]

Waislamu wa Nigeria ni wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki, ambao pia hufuata utawala wa sheria ya Kiislamu, yaani, Sharia.

  1. "Mapping The Global Muslim Population" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-08-05. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Mapping the Global Muslim Population
  3. "Global Christianity: A Report on the Size and Distribution of the World's Christian Population" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-07-23. Iliwekwa mnamo 2011-12-29. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  4. "CIA – The World Factbook – Nigeria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2016-06-23.
  5. BBC: "Nigeria: Facts and figures" April 7, 2007

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search