Ulimwengu

Makala hii inajadili "Ulimwengu" kama jumla ya vitu vyote; kwa habari za sayari tunapoishi angalia Dunia

Nyota na galaksi za anga-nje kwenye jicho la darubini ya Hubble

Ulimwengu ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha Dunia yetu pamoja na kila kitu ndani yake, jua letu, mfumo wa jua, sayari, nyota, galaksi n.k. Ni jumla ya mata, nishati na anga la Dunia pamoja na anga-nje.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search